Friday, 15 May 2015

MAARIFA

HOSEA 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani wangu mimi. kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

No comments:

Post a Comment