Friday, 15 May 2015

soma bibilia

KUTOKA 17:14-16 Bwana akamwambia musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu. Musa akajenga madhabahu, akaiita jina lake YEHOVA-NISI;* Akasema Bwana ameapa, Bwana atakuwa na vita na Ameleki kizazi, baada ya kizazi (bendera yangu.)

No comments:

Post a Comment