Monday, 18 May 2015


  •                                      SOMO LA KWANZA, ZABURI 68:2-4 
 Kama moshi upeperushwavyo, ndivyo uwapeperushwavyo wao; kama nta iyeyukavyo mbele ya moto, ndivyo waovu wapoteavyo usoni pa Mungu. Bali wenye haki hufurahi, na kuushangilia uso wa Mungu. naam, kupiga kelele kwa furaha. mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake, mtengenezeeni njia ya barabara, apitaye majangwani kama mpanda farasi, jina lake ni YAHU, shangilieni mbele zake.

No comments:

Post a Comment